Ahmedally смотреть последние обновления за сегодня на .
Leo Sep 21 ndani ya Dimba la Uhuru Mnyama mkali Simba Sc kuingia mawindoni dhidi ya Coastal Union majira ya saa 10:00. Mpenja Tv tunakuletea Habari na matukio yote kabla na baada ya Mchezo kumalizika. Macho na Masikio ya wanamichezo yapo Uhuru kujua nini kinakwenda kutokea kati ya Mwenyeji Simba na Mgeni Coastal Union
#keepwatchingmavalatv #SimbaVSBisharaUnited#Simba#Yanga#YangaVSKageraSugar#BerkaneVSSimba#Challenge#TryNotToLaugh#Mayele#YangaVSMtibwa#LiveMatch#AllyMayay#MtibwaVSYanga#BerkaneVSSimba##AllyMayayTembele#YangaTv#SIMBA##KibwanaShomari#Yanga#Simba#Yanga#Simbawalivyoondoka#KikosichaSimba#Tryagain#SimbaApp#Simbakuondoka##UchambuziWaAllyMayay#Bocco#Mayele#Magoliyote#UchambuziYanga#UchambuziSimbaVSBerkane#SimbaVSRuvushooting#RuvuShootingVsSimba#YangaVSBiasharaUnited#YangaVSBiashara#AzamTv#Valentine#Sakho#Simba##ASECMIMOSAS#SIMBA#Privaldinho#AllySonso#MsibawaAllySonso#SimbavsAsesmimo#Yanga#Manara#SimbaTv#h#MsheryYanga#barbara#Millard#MapokeziYaSimba#KombelaMapinduzi#Yanga#AzamFc#PasiMillion##AzamFc#Yanga#mayele #millardayo #magoliyasimba#simba ##millardayo #feitoto #simba #AzamFc#Simba#Yanga#Mkude#ahmedAlly#simba #AzamFc#Sakho#Tepse#MagoliyaSimba#Finalmatch##livestream#mapinduziCup#Yanga#namungo#mayele#mapinduziCup#simbavsnamungolive #yangavsazamfclive #vitukovyamorison #usajilisimba #denisnkane #chama #manara #yanga #sakho #HajiManara #Mapinduzicup#dennisnkane #yangazanzibar #simbazanzibar #allykamwe #uchambuziwaallykamwe #usajilimpya #morison #vitukovyamorrison #MenejawaSimbaSC#PatrickRweyemum#SimbaUsajili#Yanga#Mapinduzi#yanga #simbanjampyawasimba #simba #jktTanzania #mackyanga #wachezajiwasimbawauguakagera #simba#Magoliyoteyanga #uchambuziyangavsihefu|#AzamSportsFederationCup #simbavsjktTanzaniafullhighlights #GolilakibuDennisleo #mzaramowasimbaleo #mangunguleo #mashabikiwasimba #uwanjampyawasimba #uchambuziwasimbsvsya #hubaleoalhamisi #hubaleoijumaa #juakalileojumatano #juakalileoalhamisi #juakalileoijumaa #kitasaleojumatatu #kitasaleojumanne #kitasaleojumatano #kitasaleoalhamisi #kitasaleoijumaa #bekitatuleojumatat #bekitatuleojumanne #bekitatuleojumatano #bekitatuleoalhamisi #bekitatuleoijumaajumapili #desireLeojumatatu #desireleojumanne #desireleojumatano #Ndoanoleousikujumamosi #Ndoanoleousikujumapili huba leo jumatatu huba leo jumanne huba leo jumatano huba leo alhamisi SIMBA YANGA GEITA GOLD LUSAJO BOCCO MAYELE BIGIRIMANA MORRISON AZIZ KI GSM YANGA POLISI TANZANIA NAMUNGO JKT TANZANIA MTIBWA SUGAR DODOMA JIJI KMC KIFARU MBEYA CITY IHEFU TANZANIA PRISON ASUKILE KIBWANA ZIMBWE INONGA MZARAMO PASS MILION MAKAME YANGA KIGELEGELE MARK YANGA GOD YANGA FULL HIGHLIGHTS ALL GOALS BUMBULI BARBARA DIARRA BANGALA AUCHO SURE BOY SAKHO MOSES PHIRI BARAKA MPENJA MAVALA TV AYOMA LIVE KIKOSI CHA YANGA KIKOSI CHA SIMBA KIBU DENIS MWIGLU NCHEMBA TOZO AZAM TV WASAFI HUBA MANDONGA VITASA LEO JIMMY KINDOKI DAUD YANGA AGGY SIMBA MO WASAFI BIG SUNDAY LIVE AZAMSPORTS 2 HD MWANAMUZIKI BEKI TATU TAMTHILIA MAYELE MZUNGU AHMED ALLY MANARA ALLY KAMWE ALLY MAYAY UCHAMBUZI MAMELOD TP MZAZEMBE SIMBA YANGA BARBARA BUMBULI MO AZIZ KI KIKOSI CHA YANGA KIKOSI CHA SIMBA ALL HILALI PREMIIOR DE AGOST GLOBAL TV GLOBAL REDIO UDAKU CONNECTION MAHABA MSUKUMA CHADEMA CCM DIAOMOND AHRMONIZE MEERY ME MARIOO ZUCHU MBOSSO RAYAVVANY BINGO ONLINE SIMBA RICK MEDIA MILLARD AYO MAVALA TV ALL GOALS MANDONGA VITASA MWAKINYO SAMIA WASAFI BIG SUNDAY LIVE EFM OSCAR OSCAR SOKAONLINE YANGA TV SIMBA TV Djoliba (Mli) Dep. Mongomo (Gnq) Kabylie (Alg) Casa (Sen) Al-Hilal Omdurman (Sud) St. George (Eth) Al-Ittihad (Lby) Flambeau du Centre (Bur) Cotonsport (Cmr) Matlama (Les) ASEC Mimosas (Ivo) Coton FC (Ben) Watanga (Lbr) Rivers United (Nga) Asante Kotoko (Gha) Kadiogo (Bfa) Elect Sport (Cha) Zamalek (Egy) Plateau United (Nga) Stade Mandji (Gab) Primeiro de Agosto (Ang) Red Arrows (Zam) AS Vita Club (Drc) Red Arrows (Zam) AS Vita Club (Drc) Gaborone Utd (Bot) Otoho d'Oyo (Con) Cape Town City (Rsa) Monastir (Tun) APR (Rwa) Simba (Tan) Big Bullets (Mal) Nouadhibou (Mrt) Kara (Tog) CR Belouizdad (Alg) Bo Rangers (Sie) Al Ahly Tripoli (Lby) KMKM (Zan) Young Africans (Tan) Zalan (Ssu) Petro Atletico (Ang) Black Bulls (Moz) Horoya (Gui) Hawks (Gam) Royal Leopards (Esw) CFFA (Mad) Vipers (Uga) Olympic Real de Bangui (Caf) Al-Merreikh (Sud) AS Arta (Dji) SOAR (Gui) Nigelec (Nig) Kadiogo (Bfa) Asante Kotoko (Gha) Casa (Sen) Kabylie (Alg) Coton FC (Ben) ASEC Mimosas (Ivo) Gaborone Utd (Bot) AS Vita Club (Drc) Kara (Tog) Nouadhibou (Mrt) Rivers United (Nga) Watanga (Lbr) AS Arta (Dji) Al-Merreikh (Sud) Black Bulls (Moz) Petro Atletico (Ang) CFFA (Mad) Royal Leopards (Esw) Flambeau du Centre Al-Ittihad (Lby) St. George (Eth) Al-Hilal Omdurman (Sud)🤍 Bo Rangers (Sie) CR Belouizdad Nigelec (Nig) SOAR (Gui) Dep. Mongomo (Gnq) Djoliba (Mli) Olympic Real de Bangui (Caf) Vipers (Uga) Matlama (Les) Cotonsport (Cmr) Stade Mandji (Gab) Plateau United (Nga) APR (Rwa) Monastir (Tun) Big Bullets (Mal) Simba (Tan) Cape Town City (Rsa) Otoho d'Oyo (Con) Hawks (Gam) Horoya (Gui) KMKM (Zan) Al Ahly Tripoli (Lby) Red Arrows (Zam) Primeiro de Agosto (Ang) Zalan (Ssu) Young Africans (Tan) Volcan Club (Com) La Passe (Sey)q9
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC,Ahmed Ally aeleza namna Timu inavyoendelea kujinoa kwa ajili ya kuelekea Zambia kwenye Mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Power Dynamos ,Mchezo utakaochezwa Sept 16,2023 katika Uwanja wa Levy Mwanawasa Ndola Zambia. Pia amesena mwamko wa Mashabiki kwenda kwenye Mchezo huo umekuwa mkubwa sana tofauti na walivyodhania hapo awali na hii ni kutokana na Ukubwa na Ubora wa Timu hiyo.
Meneja wa habari na mawasilioano wa timu Simba Sc Ahmed Ally anegusia juu ya mchezo wao wa kimataifa Klabu bigwa Africa ambapo Simba ana subiri mshindi kati ya African Stars ya Namibia dhidi ya Power dynamo ya Zambia Pia Ahmed amesema ana imani kwamba mwaka huu watatinga nusu fainali ya mashindano hayo kulingana na ubora wa kikosi walicho nacho
Bongo5 is a dedicated to creating the best content for you, our audience! We hope you enjoyed this video, and ask you to please like & subscribe to our channel if you haven't yet. Have you had a great experience with our channel? Let us know in the comments below! #entertainment #news #music #funny
Leo Sept 16,2023 katika Dimba la Levy Mwanawasa Ndola Zambia,inapigwa mbungi ya ligi ya Mabingwa Barani Afrika kati ya Power Dynamos ya Zambia na Simba SC ya Tanzania,Saa 9 Alasiri kwa Zambia na Saa 10 Jioni Saa za Afrika Mashariki.
Meneja Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa Simba Sc Ahmed Ally anaelezea Sifa za Willy Essomba Onana baada ya Kumtambulisha kwa Kandarasi ya Miaka Miwili ya kuitumikia Klabu hiyo. Ahmed Ally pia athibitisha Umafia walioufanya Uwanja wa Ndege kwa kumnasa Mchezaji aliyekuja kwaajili ya Watani zao Yanga Sc.
KIMEUMANA AHMED ALLY AFUNGUKA YA MANULA/KRAMO KUUMIA TENA/KAMA YANGA WAZURI TANGA KILIWASIBU NINI?
Mpenja Tv tumepata ugeni wa Semaji la Simba Ahmed Ally mapema Leo July 10, amefika huku Gari yake ikiwa imebandikwa Majina ya Nyota wapya ambao wamesajiliwa na Simba katika Dirisha hili. Semaji ametoa Sifa za kutosha kwa Nyota Che Malone na kutoa Mfano wa Bahari ilivyopasuka baada ya Usajili wake. Onana pamoja na Kramo pia wamo kwenye Gari ya Semaji, amwaga sifa za kutosha kwao. Pia Semaji limeeleza sababu za Simba kufanya Usajili mkubwa.
“....hatua ya makundi ni haki yetu” –Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally aitaja tarehe moja mwezi wa kumi kuwa siku ya hukumu, asema sare ya leo ni faida zaidi kwao. FT: Power Dynamos 2-2 Simba SC
Klabu ya Simba kupitia Ofisa mtendaji mkuu Imani Kajula pamoja na Meneja wa Habari na Mawasiliano Ahmed Ally imezungumza maandalizi yao kuelekea Tamasha la kilele cha Siku ya Simba (Simba Day) litakalofanyika August 6 2023,Katika Dimba la Benjamin Mkapa. Siku hiyo kutakuwa na Burudani mbalimbali kutoka kwa Wasanii wa ndani na wa Kimataifa. Pia itapigwa mbungi ya kirafiki ya Kimataifa kati ya Simba SC na Power Dynamos FC ya Zambia.
AHMED ALLY 'FULL KICHEKO' AKIVALISHWA MEDALI YA CAF NA MORRISON 🤍 WATCH WASAFI TV📺 AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113 LISTEN WASAFI FM 📻 88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻 Follow Us On: INSTAGRAM: 🤍 || 🤍 TWITTER: 🤍 || 🤍 FACEBOOK: 🤍 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. #wasafi #wasafitv #wasafifm
Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba Sc Ahmed Ally afunguka kuhusu Usajili Mpya watakaouanza hivi karibuni. Pia kuhusu Ujio wa Jezi Mpya wa Klabu hiyo zitakazozinduliwa Mwezi huu.
#sports #simba #simbasc #simbasctanzania #yangasc #yangasc #yangafc
Meneja habari na mawasiliano wa timu ya Simba Sc Ahmed Ally amezungumza na waandishi wa habari baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere wakitokea Ndola nchini Zambia Ahmed Ally amejibu wale ambao wanambeza nyanda wao Ayoub Lakled na pia kueleza maandalizi yao kuelekea mechi zijazo
Leo Tarehe 29 Mei,Mpenja Tv tumefanya Mahojiano na Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba Sc Ahmed Ally na kuweka wazi Mwenendo wa Timu hiyo wakati huu ambao Ligi Kuu imesimama wakiwa wamebakiza Mechi Mbili Msimu kwisha.
#Live: AHMED ALLY ANAZUNGUMZA SIMBA JIPANGA KIMATAIFA ZAIDI
Leo August 10 2023,katika Dimba la Mkwakwani jijini Tanga inapigwa mbungi ya nusu fainali ya pili ya ngao ya jamii 2023 kati ya Simba SC na Singida Fountain Gate FC,Saa Mojave Usiku. Mpenja TV tunakuletea taarifa za matukio yote yatakayojiri kwenye mbungi hiyo.
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC,Ahmed Ally ameeleza maandalizi ya Safari kuelekea Morocco kwa ajili ya Mchezo wa mkondo wa pili robo Fainali ya ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Wydad Athletic Club,Utakaochezwa Nchini Morocco Aprili 28 2023.
Leo Tarehe 22 Agosti Mpenja Tv imeanza safari kuelekea Kisiwani Zanzibar kwaajili ya Tukio la ufunguzi wa Tamasha la Kizimkazi linalofanyika kuanzia Tarehe 25 Kwenye Safari hii imewakutanisha Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba Sc pamoja na Yanga Sc Ahmed Ally pamoja na Ally Kamwe
&
Mashabiki na Wanachama wa Simba SC,wamekutana Ubungo Plaza tayari kwa safari ya kuelekea Zambia, kwenye mchezo wa ligi ya Mabingwa afrika dhidi ya Power Dynamos,utakaochezwa Sept 16,2023 katika Uwanja wa Levy Mwanawasa Ndola Zambia.
JAMBO LA NCHI Ni zoezi la Uchangiaji Tiketi kwaajili ya kuipa Sapoti Timu ya Taifa Ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kwenye Mechi ya Marudiano ya Kufuzu Afcon dhidi ya Uganda Siku ya Jumanne Saa 1:00 Kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa. Cliford Ndimbo Ofisa Habari wa TFF,amewakutanisha Maofisa wengine kutoka Simba Sc Ahmed Ally,Yanga Sc Ally Kamwe na Azam Fc Hasheem Ibwe ili kuendesha Harambee hiyo kwenye Mkutano na Wanahabari uliofanyika Leo Dar es salaam. Jumla ya Ticket 10500 zimekusanywa kwenye Hatua ya Awali,Zoezi ilo likiwa ni endelevu Mpaka kufikia siku ya Mechi.
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba SC Ahmed Ally amezungumza baada ya Kikosi cha Simba kufanya mazoezi yake ya mwisho kwenye Uwanja wa Levy Mwanawasa
#sports #simbasc #simbasctanzania #ahmedally #baleke
Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ tayari ipo kambini kujiandaa na mechi ya Kundi F dhidi ya Niger kuwania kufuzu fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika ‘Afcon 2023’ itakayopigwa Jumapili kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, huku timu hiyo ikihitaji ushindi kwa lengo la kujiweka pazuri kwenda Ivory Coast.
Simba SC wameeleza Mipango na mikakati yao ikiwemo kuja na Executive Tickets kwa ajili ya Mashirika na Taasisi mbali mbali,Platnum Tickets pamoja na Mnyama Package kwa ajili ya Makundi mbali mbali ya Mashabiki wa Simba SC,kuelekea Kariakoo Derby dhidi ya Mtani wao Yanga SC,April 16 2023,Mchezo Utakaochezwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Saa kumi na Moja jioni. Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC,Ahmed Ally pamoja na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Simba Imani Kajula wameyazungumza hayo asubuhi ya leo,kwenye Mkutano na Waandishi wa Habari,uliofanyika Ofisi zao Masaki.
#BATTLETV